Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa ya Afrika wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa urusi, Vladimir Putin kabla ya kuanza kwa Mkutano baina ya Urusi na Afrika unaofanyika, Sochi nchini Urusi, Oktoba 24, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaiana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hafla ya kuwakaribisha Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika wanaoshiriki katika Mkutano baina ya Urusi na Afrika unaofanyika Sochi nchini Urusi, Oktoba 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: