Mwendesha Pikipiki za Michezo, Ahmed Mohamed, akiwa hewani baada ya kuruka tuta wakati wa shindano la 'Mzizima Auto Rassing' lililofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, jana. Katika shindano hilo, mshindi wa kwanza alikuwa ni Ahmed Mohamed, akifuatiwa na Juma Khalif na Msawila Junior. (Picha na Muhidin Sufiani).
Mwendesha Pikipiki za Michezo, Juma Khalif, akiwa hewani baada ya kuruka tuta wakati wa shindano la 'Mzizima Auto Rassing' lililofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, jana. Katika shindano hilo, mshindi wa kwanza alikuwa ni Ahmed Mohamed, akifuatiwa na Juma Khalif na Msawila Junior.
Mwendesha Pikipiki za Michezo, Msawila Junior, akiwa hewani baada ya kuruka tuta wakati wa shindano la 'Mzizima Auto Rassing' lililofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, jana. Katika shindano hilo, mshindi wa kwanza alikuwa ni Ahmed Mohamed, akifuatiwa na Juma Khalif na Msawila Junior.
Mtifuano ulikuwa kama hivi......
Hapitwi mtu hapa........
Magari pia hufanya yao kabla ya kuanza Pikipiki......
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: