Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wakati akiondoka kuelekea mkoani Dodoma kwa
kutumia usafiri wa shirika la ndege la ATCL mara baada ya kumaliza ziara yake Mpanda mkoani Katavi.
Ndege ya ATCL aina ya Bombardier Q400 ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Mpanda mkoani Katavi huku ikimwagiwa maji (water salute)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono vikundi vya ngoma na kwaya vya Mpanda mkoani Katavi kabla ya
kuzindua safari za Shirika la ndege la Tanzania ATCL kutoka Dar kwenda Mpanda mkoani Katavi leo tarehe 12/10/2019. PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: