Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Anga (TCAA), Hamza Johari, akifafanua jambo kwa Waandsishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano kwa miaka minne madarakani ikiwemo ununuzi wa Rada 4 za kuongozea ndege, Mkutano huo na Waandishi wa Habari ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Idara ya Uhandisi na Huduma za Ufundi kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mbila Mdemu, Akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano, ikiwemo ukarabati na ujenzi wa Viwanja vya ndege, Mkutano huo na Waandishi wa Habari ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
 Meneja Mipango na Takwimu kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Asteria Mushi akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano, ikiwemo ukarabati na ujenzi wa Viwanja vya ndege, Mkutano huo na Waandishi wa Habari ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mwanasheria kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Pamela Mugarula akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano, ikiwemo ukarabati na ujenzi wa Viwanja vya ndege, Mkutano huo na Waandishi wa Habari ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. (Picha na Idara ya Habari-MAELEZO).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: