Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii Dkt, CP Mussa Ali Mussa (katikati) akiingia katika ukumbi wa Hotel ya Landmark Kunduchi Jijini Da es Salaam alipokwenda kufungua mkutano wa kujadili na kupanga mikakati ya kuzuia makosa yanayovuka mipaka. Mkutano huo umeshirikisha nchi wanachama 16 kutoka shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika ( EAPCCO). Kulia ni Mkuu wa ofisi za Interpol Mashariki mwa Afrika, Gedion Kimilu. Kushoto ni Mratibu wa Mafunzo wa Chuo cha Masomo ya Usalama Afrika kilichopo Afrika ya Kusini, Willem Els. (PICHA NA JESHI LA POLISI)
Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii Dkt, CP Mussa Ali Mussa akiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kufungua mkutano wa kujadili na kupanga mikakati ya kuzuia makosa yanayovuka mipaka. Mkutano huo umeshirikisha nchi wanachama 16 kutoka shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika ( EAPCCO). Kulia ni Mkuu wa ofisi za Interpol Mashariki mwa Afrika, Gedion Kimilu. Kushoto ni Mratibu wa Mafunzo wa Chuo cha Masomo ya Usalama Afrika kilichopo Afrika ya Kusini, Willem Els.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: