Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson kupitia taasisi yake ya Tulia Trust ametembelea wazee wanaoishi katika mazingira magumu katika kata mbalimbali mkoani Mbeya ambao ameweza kuzungumza nao pamoja na kuwapatia misaada ikiwemo mchele, sukari pamoja na sabuni.

Jumla ya wazee takribani 400 aliowatembelea amewapatia kila mmoja wao kilo mbili za mchele, sukari kilo moja na mche mmoja wa sabuni.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: