DR. FRANCIS MW. MSELLEMU

1941- 2020

Baba, Ni Miaka 24 sasa tangu uondoke hata bila ya kutuambia neno la KWAHERI!
Maisha yetu hayajawahi kuwa rahisi bila uwepo wako. Baba, Japo watu wanatuona tukicheka , hawajui ni kiasi gani mioyo yetu inahuzunika kwa kukukosa malezi, mapenzi na uwepo wako wewe.

Hata hivyo tunamshukuru MUNGU kwa kuendelea kutulinda, kututunza na kutubariki. Ameedelea kuwa kweli kwetu Mume wa Mjane na Baba wa Yatima.

Tunakuombea Pumziko la Milele, na tukiamini kwamba siku moja tutakutana na wewe mbinguni.

Unakumbukwa daima na Mke wako Mpendwa Kodawa Mikaline Msellemu - ‘Mama K’ kama ulivyo kuwa umezoea kumuita, Watoto, Wakwe zako, pamoja na Wajukuu. Ndugu , Jamaa na Marafiki nao hawajakusahau.

‘Mamillioni Wanaitegemea’-Pumzika kwa Amani DAD!
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: