Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali katika hafla fupi ya Uapisho wa Viongozi hao iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Wakuu wa Mikoa mbalimbali walipokuwa wakiwaapisha Wakuu wa Wilaya zao katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma mara baada ya hafla fupi ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua. Viongozi mbalimbali walioteuliwa mstari wa mbele wakiwa wanasikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Joseph Joseph Mkirikiti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Paulo Mshimo Makanza kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Gabriel Pascal Luhende kuwa Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Boniface Luhende kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Maduhu Isaac Kazi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila akimuapisha Ssgt Mayeka Simon Mayeka kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo,Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Binilith Mahenge, Katibu Mkuu TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga, Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali walioapishwa leo katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge akila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joseph Joseph Mkirikiti Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira akimuapisha Alhaj Rajab Kundya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Wakuu wa Mikoa ya Dar es Salaam Aboubakar Kunenge pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joseph Joseph Mkirikiti mara baada ya kuwaapisha Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Viongozi mbalimbali wakila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: