Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald (wa pili kushoto) pamoja na Msaidizi wa Mipango Vodacom Tanzania Foundation, Kelvin Boya wakiwaelezea wateja kuhusu huduma ya Instant School walipotembelea banda la Vodacom kwenye maonesho ya 44 ya biashara ya kimataifa ya sabasaba 
Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi, Amina Salum Ali akimkabidhi Tuzo ya Banda bora la sekta ya Mawasiliano na Tehama kwenye maonesho ya 44 ya kimataifa ya biashara (Sabasaba) Meneja wa mauzo wa Vodacom Tanzania PLC, kanda ya Temeke, Angetile Martin. Vodacom iliibuka mshindi wa kwanza katika kipengele hicho baada ya kuonesha vitu mbalimbali ikiwemo robot anayeitwa Pepper. 
Baadhi ya wateja waliotembelea banda letu, wakizungumza na robot aitwaye Pepper kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni yetu wakati wa maonesho ya sabasaba.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: