Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, kushoto akiwakabidhi Maafisa, Wakaguzi na Askari Bendera ya Tanzania leo katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini Dodoma kabla ya kuanza safari ya kwenda kulinda Amani Nchini Sudani.
Wa kwanza kushoto ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, na wakwanza kulia ni SACP Lenata Mzinga wakiwakabidhi Maafisa, Wakaguzi na Askari Bendera ya Tanzania leo katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini Dodoma kabla ya kuanza safari ya kwenda kulinda Amani Nchini Sudani.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Liberatus Sabas akisalimiana na mmoja ya Askari aliefahamika kwa jina la WP Kirsten A. Said wakati walipokuwa wakiagwa Makao Makuu ya Polisi Jijini Dodoma kwenda kwenye Ulinzi wa Amani Nchini Sudani. (Picha na Jeshi la Polisi)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: