Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Madaba Bw. Mikael Hadu, na wataalam kutoka katika Halmashauri hiyo na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji katika kikao Mapema leo Wilayani Madaba.
Mchumi kutoka Halmashauri ya Madaba Bw. Bosco Mwingira akiwasilisha jambo wakati wa kikao hicho na Kulia ni Bw. Yassin Kazoba mchumi kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji.
Picha ikionesha baadhi ya wakulima wanawake wa Skimu ya Kilimo cha umwagiliaji cha HangaNyadinda katika kikao na wataalam kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji
Mwenyekiti wa Skimu ya Kilimo cha Umwagiliaji ya HangaNyadinda Bw.John Joakim Komba akifafanua jambo kwa wakulima wakati wa kikao na wataalam kijijini hapo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: