Mwezeshaji wa Mafunzo ya Uandaaji wa Mpango wa Kati wa Matumizi ya Fedha (MTEF) kwa Taasisi na Mashirika ya Umma, Cledius Kamugisha akiendesha mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa ajili ya maafisa Mipango na Maafisa Rasilimali Watu. Mafunzo hayo yaliyoanza jana kwenye Chuo cha Uhasibu Arusha yanatarajiwa kufanyika kwa wiki mbili.
Mwezeshaji wa Mafunzo ya Uandaaji wa Mpango wa Kati wa Matumizi ya Fedha (MTEF) kwa Taasisi na Mashirika ya Umma, Hezron Mwakabonga akiendesha mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa ajili ya maafisa Mipango na Maafisa Rasilimali Watu. Mafunzo hayo yaliyoanza jana kwenye Chuo cha Uhasibu Arusha yanatarajiwa kufanyika kwa wiki mbili. (Picha na Ofisi ya Msajili wa Hazina).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: