Wabunge wakitoka kwenye Ukumbi wa Bunge Novemba 20,2020, baada ya Spika Job Ndugai kuahirisha Bunge hadi Februari 2, 2021.  Bunge la 12 lililofunguliwa na Rais John Magufuli lilifanya vikao mbalimbali ikiwemo kumchagua Spika, kuwaapisha wabunge, kumchagua Naibu Spika, kumthibitisha Waziri Mkuu pamoja na semina mbalimbali za kuwapiga msasa wabunge kuhusu kanuni na taratibu za bunge. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: