RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Mhe.Prof.Ratlan Pardede, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha alipofika Ikulu leo 2-3-2021 kwa mazungumzo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Mhe.Prof. Ratlan Pardede, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Mhe.Prof. Ratlan Pardede, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 2-3-2021.(Picha na Ikulu)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: