Mwenyekiti wa Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Comred Nimka Stanley Lameck akizungumza wakati akifungua kikao cha kamati ya Uendeshaji ya Chipukizi taifa leo ofisi ndogo za UVCCM Upanga Dar es Salaam.
Wajumbe wakikao wakiwa wamesimama kuwaombea watu waliopoteza maisha katika kivuko cha Mv Nyerere kilichotokea Tareh 20 Septemba mwaka huu jijini mwanza Wilaya ya Ukerewe.
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Taifa Comred Hassan Bomboko ambae ndie msimamizi Mkuu wa Chipukizi akizungumza katika Kikao cha kamati ya Uendeshaji kilichoketi ofisi ndogo za makao makuu ya UVCCM Upanga Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala akizungumza katika Kikao cha kamati ya Uendeshaji kilichoketi ofisi ndogo za makao makuu ya UVCCM Upanga Jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa Ndg Pili Hassan Suluhu akizungumza katika Kikao cha kamati ya Uendeshaji kilichoketi ofisi ndogo za makao makuu ya UVCCM Upanga Jijini Dar es Salaam.
Picha ya Pamoja Ya wajumbe wa Kamati ya Uendeshaji ya Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi .(Picha zote na Fahadi Siraji wa UVCCM)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: