Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda akizungumza na Wakazi wa Kimara mara baada ya kutembelea kituo cha Mabasi ya Mwendokasi na kujionea kero na changamoto za mradi huo na kuaidi kwenda kuzungumza na Waziri wa Tamisemi, Suleimani Jaffo hili waweze kutatua kero hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda akitembelea eneo la kituo na kujionea Changamoto zilizopo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akifungua geti lililofungwa eneo la Kimara Mwisho Wananchi wasipite na kuamuru litumike kuanzia leo hili kiupunguza kero kwa Wananchi.
Wananchi waliokuwa wamefurika eneo la Kimara kusubiri Mabasi ya Mwendokasi
Abiria wakiwa wamebanana ndani ya basi la Mwendokasi kutokana na uchache wa mabasi
Wakazi wa Mbezi na Kimara wakiwa wamejazana kumsikiliza mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam eneo la Kimara Mwisho.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: