Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema wanafuatilia taarifa za madai ya kutekwa mfanyabiashara Mohammed Dewji.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema polisi wanafuatilia taarifa za madai ya kutekwa kwa mfanyabiashara, Mohammed Dewji.

Akizungumza na MCL Digital leo asubuhi Oktoba 11, 2018 Mambosasa amesema baada ya kupata taarifa za tukio hilo wanafuatilia kujua ukweli wake.

Taarifa zilizosambaa tokea asubuhi zinaeleza kuwa mfanyabiashara huyu anadaiwa kutekwa leo asubuhi maeneo ya hoteli ya Collessium jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: