RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar, kuhusiana na maendeleo ya Miradi mbalimbali ya Wizara hiyo,kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mshauri wa Rais Masuala ya Uwekezaji na Uwezeshaji Mhe. Abdulrahman Mwinyijumbe, mkutano huo umefanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar. 
(Picha zote na Ikulu).
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo Maliasi, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, kuhusiana na Maendeleo ya Miradi mbalimbali ya Wizara hiyo,kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Kilimo Maliasili,Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Rashid Ali Juma, wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Zanzibar.
WAZIRI wa Kilimo, Maliasili,Mifugo na Uvuvi Zanzibar. Mhe. Rashid Ali Juma, akiwasilisha ripoti ya Maendeleo ya Miradi mbalimbali ya Wizara yake ,wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, hayuko pichani na kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
VIONGOZI wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar, wakifuatilia taarifa ya maendeleo ya Miradi ya Wizara hiyo, wakati ikiwasilishwa na Waziri wa Kilimo Maliasi, Mifugo na Uvuvi.Mhe. Rashid Ali Juma, wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Bi. Maryam Juma Sadalla, akichangia wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,kuzungumzia maendeleo ya Miradi ya Wizara hiyo, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Kilimo Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, katika ukumbi wa mikutano Ikulu Zanzibar.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: