Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Yoweri Kaguta Museveni akiongea machache kabla ya kukabidhi kiti kwa Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati wa Mkutano wa 20 wa kawaida wa Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha leo Februari 1, 2019
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Paul Kagame wa Rwanda akiongea baad ya kupokea kiti wakati wa Mkutano wa 20 wa kawaida wa Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha leo Februari 1, 2019.
Ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa 20 wa kawaida wa Viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha leo Februari 1, 2019. PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: