RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, alipowasili katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni kuhudhuria hafla ya chakula alichowaandalia Vijana Walioshiriki Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama wakati akiwasili katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar, kuhudhuria hafla ya chakula cha mchana alichowaandalia Vijana walishoriki Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar, kulia Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maul;id na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma na kushoto Kiongozi wa Vijana wa HJalaiki Ndg. Ali Mohammed Bakari.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kulia Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe. Zuberi Ali Maulid na kushoto Kiongozi wa Vijana wa Walioshiri Halaiki za Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi Ndg. Ali,Mohammed Bakari, wakiwa wamesimama wakipiga makofi baada ya kuwasili mgeni rasmin Rais wa Zanzibar, kujumuika na Vijana katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
VIJANA Walioshiriki Halaiki ya Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba, wakipiga makofi baada ya kuwasili kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
VIJANA Waliuoshiriki katika Halaiki ya kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba, wakijumuika katika chakula maalum kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
KIONGOZI wa Halaiki Ndg. Ali Mohammed Bakari, akitoa shukrani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya chakula maalumu kilichoandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar,kwa Vijana walioshiriki Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa meza kuu kulia Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe. Zuberi Ali Maulid, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma na kushoto Kiongozi wa Vijana wa Halaiki Ndg Ali Mohammed Bakari, wakijumuika na Vijana wakiimba "Wimbo wa Sisi Sote Tumegomboka" wakati wa hafla hiyo.
VIJANA Walioshiriki Halaiki ya Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Mapinduzi ya wakishiriki katika kuimba "Wimbo wa Sisi Sote Tumegombaka" wakati wa hafla hiyo ya chakula maalum kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, zilizofanyika katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, akizungumza na kutoa shukrani za Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kwa Vijana walioshirki katika Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
VIJANA Walioshiriki Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika kisiwani Pemba mwezi Januari 2019, wakifuatilia hafla hiyo ya chakula maalum kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: