Bonanza la TOT lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam liliweza kufana vyema kwa kukutanisha vijana kutoka sehemu mbali mbali huku wakibirudika kwa muziki mwanana na kushushia michezo mbali mbali ikiwemo Mpira wa Miguu na Kikapu.

Wakizungumza waandaaji wa Bonanza hilo waliweza kuwashukuru wananchi walioweza kujitokeza kuwaunga mkono huku wakiweza kushukuru wajasiliamali waliojitokeza kuonyesha bidhaa zao.

Bonanza hilo ambalo nila pili kufanyika liliweza kufana kwa namna yake ya pekee huku waandaaji wakiahidi kuwa Julai 6, 2019 watafanya bonanza lingine. 

Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Timu zikichuana...
Vijana waliojitokeza katika bonanza hilo.
Kila mmoja akionyesha umahili wake katika mpita wa kikapu.
Burudani ya Muziki ilikuwepo...

Marafiki wanapokutana pamoja huwa ni burudani.
Huku mambo yalikuwa yakienda hewani 'live'
Shangwe za marafiki.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: