Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola akioneshwa Askari wa Usalama Barabarani Ibrahim Samwix namna wanavyofanya ukaguzi katika vyombo mbambali vya usafiri wakati wa Kongamano la usalama barabarani lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola akizungumza na waandishi habari katika kungomano la usalama barabarani lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi wa Kituo cha Ukaguzi Cha Usalama Barabarani cha Mabasi ya Mikoani na Nchi Jirani Ibrahim Samwix akizungumza mbiinu mbalimbali wanazozitumia katika ukaguzi vyombo vya usafiri katika kongamano la usalama barabarani lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola akitoa maelekezo kwa askari wa usalama barabarani katika kongamano la usalama barabarani lililofanyika jijini Dara es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola akitoa maelekezo askari wa usalama Barabarani Ibarahimu Samwix wakati wa kongamano la usalama barabarani lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: