Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (Kushoto ) akizungumza leo ofisini kwake Jijini Dodoma na Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bibi Joan Nyanyuki kuhusu Sekta ya Habari hususani Wajibu wa vyombo vya Habari nchini kuandika na kusambaza habari zenye ukweli.
Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bibi Joan Nyanyuki (Kulia) akizungumza leo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe ofisini kwa Mhe.Waziri Jijini Dodoma kuhusu Sekta ya Habari hususan Wajibu wa vyombo vya Habari nchini kuandika na kusambaza habari zenye ukweli.
Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bw.Roland Ebole (Kulia) akizungumza leo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) kuhusu Sekta ya Habari hususan Wajibu wa vyombo vya Habari nchini kuandika na kusambaza habari zenye ukweli ofisini kwa Mhe.Waziri Jijini Dodoma. Kulia ni Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bibi Joan Nyanyuki.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: