Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja  (wa tatu toka kulia) akipata maelezo toka kwa Msimamizi wa mradi wa Usambazaji wa Maji Mhandishi Kakwezi wakati akikagua ulazaji wa mabomba ya maji kutoka kwenye tenki la Kibamba na kuelekea tenki la Kisarawe kwa ajili ya kuwapatia maji kwa wakazi wa Pwani. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.

Uchimbaji wa mitaro wa ajili ya kulaza mabomba ukiendelea.

Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelekezo wakati akikagua ulazaji wa mabomba ya maji kutoka kwenye tenki la Kibamba na kuelekea tenki la Kisarawe kwa ajili ya kuwapatia maji kwa wakazi wa Pwani. 

Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akipata maelezo toka kwa Msimamizi wa mradi wa Usambazaji wa Maji Mhandishi Kakwezi wakati akikagua ujenzi wa tenki la Kibamba litakalokuwa likipeleka majisafi na salama kwenye tenki la Kisarawe kwa ajili ya kuwapatia maji kwa wakazi wa Pwani. Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelekezo mara baada ya kufika kwenye umaliziaji wa ujenzi tenki la Kisarawe litalokuwa likiwasambazia wakazi wa Pwani.
Mabomba.
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelekezo mara baada ya kufika kwenye zoezi la uchimbaji wa mitaro ya kulaza mabomba.
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akishiriki katika uchimbaji wa mitaro eneo la Kisarawe- Pwani.
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akiongea na wanahabari na wananchi waliofika kuangalia zoezi la utandikaji wa mitaro kwa ajili ya kulaza mabomba itakayokuwa ikiwasambazia wakazi wa Pwani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: