Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akisikiliza maelezo ya mradi wa Kisima cha Mkuranga, Pwani kutoka kwa Msimamizi wa Mradi Mhandisi John Kirecha (wa pili toka kulia) wakati wa ziara ya kutembelea kujionea maendeleo ya mradi huo. Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
 Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akionja maji ya kisima yatakayosambaziwa wakazi wa Mkuranga, Pwani.
 Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja (wa pili toka kushoto) akiendelea kukagua mradi wa kisima kilichopo Mkuranga, Pwani.

Katika muendelezo wa ziara ya Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja mapema leo ametembelea eneo la Kimara Bonyokwa na kujionea maunganisho mapya ya maji kwa wakazi wa Bonyokwa na vitongoji vyake.

Awamu ya pili Mhandisi Luhemeja amefika katika Kisima cha kusambaza maji kwa Wakazi wa Mkuranga, Pwani ambao wakazi wa Mkuranga Mjini na vitongoji vyake baada ya ujenzi wa tenki litakalokuwa na lita milioni 1.5.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: