Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM- Zanzibar, Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein , Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Phillip Mangula wakiimba wimbo wa Chama mara baada ya kuwasili ukumbini katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha halimashauri kuu ya Chama hicho (NEC) kilichofanyika jijini Dar es Salaam.June 27,2019
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika kikao cha halimashauri kuu ya Chama Mapinduzi Ccm Taifa (NEC) kilichofanyika jijini Dar es Salaam.June 27,2019
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM- Zanzibar Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohhamed Shein wakati wa kikao cha halimashauri kuu ya Chama hicho (NEC) kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: