Watumishi wa Bohari ya Dawa (MSD), wakiwa na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Pindi Chana wakati alipo tembelea Banda la Tanzania kwenye Maonyesho hayo.
Watumishi wa Bohari ya Dawa (MSD) Selwa Hamid na Doroth Mtatifikolo wakiwa kwenye maonesho ya Maadhimisho ya Utumishi wa Umma Afrika (APSD) yanayofanyika Nairobi nchini Kenya.
Picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Pindi Chana. 
Maonesho yakiendelea. 

Kutoka Nairobi, Kenya


WATUMISHI wa Bohari ya Dawa(MSD) Selwa Hamid na Doroth Mtatifikolo wakiwa kwenye maonesho ya Maadhimisho ya Utumishi wa Umma Afrika(APSD) yanayofanyika Nairobi nchini Kenya.

MSD ni miongoni mwa taasisi nne kutoka Tanzania zilizokidhi vigezo vya kushiriki maonesho hayo.Wengine ni TFDA,TRC,Uhamiaji.

Akizungumza alipotembelea banda la MSD Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Pindi Chana amewapongeza MSD kwa kuteuliwa kununua dawa,vifaa tiba na vitendanishi vya maabara kwa nchi za SADC na kununua dawa moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji dawa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: