Samahani ndugu zangu, mnaombwa msaidie ku-like na ku-share hii link ili niweze kushinda kuwa Miss Mara Photogenic 2019, Namba yake ya ushindi ni 04 Jina: Veronica Godfrey.


"Naomba kura yako ni muhimu na itaongeza sana furaha ya moyo wangu, Samahani kwa usumbufu wowote kama nitakuwa nimekukwaza," amesema.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: