Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesitisha mkataba na Kocha wa Timu ya Taifa 'Taifa Stars' Emmanuel Amunike baada ya kuafiki makubaliano.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika ukurasa wa mtandao wa jamii Instagram wa TFF umesema.

TFF inatarajia kutangaza kocha wa muda atakayeongoza kikosi cha Timu ya Taifa Stars kwa mechi za CHAN.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: