Watu zaidi ya 60 wanasadikiwa wamekufa majeruhi 68 baada ya lori la mafuta kupinduka na kuwaka moto eneo la Itigi- Msamvu mkoani Morogoro. 

Inadaiwa chanzo cha ajali hiyo ni watu kutaka kuiba betri kutoka kwenye tenki hilo lililokuwa limepinduka leo asubuhi huku wengine wakiiba mafuta ndipo moto ukalipuka. Habari kamili itawajia hivi punde.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: