Naibu Waziri Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya (kulia) akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya Tigo alipotembelea banda la maonyesho wakati wa mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaoendelea jijini Dar es Salaam, Tanzania, ambapo Tigo ndio wadhamini rasmi wa Wi-Fi inayotumika katika mkutano huo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: