Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania TRC) alipotembelea banda la kampuni hiyo akiwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya Awamu ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. 
Afisa Uhusiano wa TRC akizungumza na wananchi na wageni waliofika katika banda lao.
Meneja Mradi wa reli ya Kisasa ya SGR kipande cha Dar to Morogoro Mhandisi Masanja Machibwa akiongea na wageni waalikwa waliofika katika banda lao.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: