RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia Meli Mpya ya Mafuta ya MT. UKOMBO II, Ikiwasili kuelekea katika bandari ya Malindi Zanzibar ikitokea Shanghai Nchini China, iliyotengenezwa na Kampuni ya Damen Shipyard ya Uholanzi. (Picha na Ikulu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: