RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas D. Ndumbaro (Mb.) kuhudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa SADC, unaotarajiwa kufanyika kesho katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijinin Dar es Salaam.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jiji Dar es Salaam, kuhudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kulia Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt.Damas D. Ndumbaro, na kushoto Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakielekea katika chumba cha mapumziko Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: