Waziri Mkuu ameishukuru Tigo kwa kuwa mdhamini rasmi wa intaneti itakayotumiwa na wageni wanaohudhuria mkutano wa 39 wa jumuiya ya maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa atembelea banda la Tigo na kuwapongeza kwa kuwa wadhamini rasmi wa intaneti itakayotumika kwenye mkutano wa 39 wa jumuiya ya maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC ) unaondelea jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere. Tigo ndio kampuni ya mawasiliano pekee yenye mtandao wa kasi wa 4G+.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikaribishwa katika banda la Tigo na Mkuu wa Mauzo – Tigo Business, Kadambara Maita katika mkutano wa 39 wa Jumuiya ya maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC unaondelea jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere.

Wafanyakazi wa Tigo wakimkaribisha Waziri Mkuu wa Tanzania, Mh.Kassim Majaliwa, katika banda la Tigo, lililopo katika mkutano wa 39 wa jumuiya ya maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC unaondelea jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: