Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mji wa Mlowo Mbozi mkoani Songwe mara baada ya kuwasili wakati akitokea uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya.
Wananchi wa Ilonga wakishangilia mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo Mkoani Songwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ilonga mkoani Songwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua kiwanda cha kukoboa Kahawa cha GDM Limited kilichopo Mlowo Mbozi mkoani Songwe.
Wananchi wa Ruanda wakishangilia mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo Mkoani Songwe. 
Wananchi wa Mlowo wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao. PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: