Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anashiriki hafla ya uzinduzi rasmi wa kitabu cha Historia ya maisha ya Mhe. Benjamin William Mkapa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam. Kitabu kinaitwa "MY LIFE MY PURPOSE"
Home
ELIMU
HABARI
HABARI NA MATUKIO
HABARI ZA KIJAMII
KITAIFA
MAGUFULI
LIVE: UZINDUZI WA KITABU CHA 'MY LIFE MY, PURPOSE' CHA RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMINI MKAPA JIJINI DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: