Meneja Mahusiano na Elimu kwa Umma wa NSSF Bi Lulu Mengele (kushoto) akiwa na Meneja Matekelezo na Uandikishaji wa NSSF, Bw. Joseph Fungo (kulia) wakionyesha fomu wakati wa uzinduzi wa  kampeni ya Boresha Taarifa na NSSF mwanachama uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Meneja Mahusiano na Elimu kwa Umma wa NSSF Bi Lulu Mengele (wa kwanza kushoto) akifafanua juu ya kadi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Boresha Taarifa na NSSF, wengine Meneja Matekelezo na Uandikishaji wa NSSF, Bw. Joseph Fungo (wa katikati) na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Bi. Janet Ezekiel.

Kupitia kampeni ya Boresha Taarifa na NSSF mwanachama akiwa na kitambulisho cha Taifa atatakiwa kujaza taarifa chache. Meneja Kiongozi, Uhusiano, Elimu kwa Umma wa NSSF, Lulu Mengele, alisema kampeni hiyo itakuwa endelevu, inayolenga kuwapa huduma bora na kwa wakati wanachama wapya na wa zamani
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: