Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea barua yenye ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa iliyowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum wa Rais huyo Waziri wa Zamani wa Nishati wa Afrika Kusini Jeffrey Radebe mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Waziri wa zamani wa Nishati wa Afrika Kusini Jeffrey Radebe mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea barua yenye ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed iliyowasilishwa kwake na Waziri wa Nchi wa Ethiopia Hirut Zemene mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed Waziri wa Nchi wa Ethiopia Hirut Zemene mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Waziri wa Zamani wa Nishati wa Afrika Kusini Jeffrey Radebe mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: