Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, wakati akiwasili kwenye Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa, Vingunguti jijini Dar es Salaam, Desemba 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mshauri wa Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa Vingunguti, Henry Mwoleka, wakati alipokagua mradi huo, Desemba 3, 2019, jijini Dar es Salaam. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa, yaliyopo Vingunguti jijini Dar es Salaam, Desemba 3, 2019. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa Mkandarasi wa Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa Vingunguti, Mhandisi Elisante Ulomi, wakati alipokagua mradi huo, Desemba 3, 2019, jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua Machinjio ya zamani yaliyopo Vingunguti, baada ya kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa, jijini Dar es Salaam, Desemba 3, 2019. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Afisa Mfawidhi wa Machinjio Vingunguti, Jihadhari Mgeni, wakati alipokagua machinjio hayo, Desemba 3, 2019, jijini Dar es Salaam. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akioneshwa jambo na Afisa Mfawidhi wa Machinjio Vingunguti, Jihadhari Mgeni, wakati alipokagua machinjio hayo, Desemba 3, 2019, jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kukagua Machinjio ya zamani yaliyopo Vingunguti jijini Dar es Salaam, baada ya kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa Vingunguti, Desemba 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: