Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Machi, 2020 amewasili Chato Mkoani Geita akitokea Mkoani Dodoma. Mhe. Rais Magufuli ametua katika uwanja wa ndege wa Chato na kisha kuelekea nyumbani kwake katika kitongoji cha Lubambangwe, Kijiji cha Mlimani Wilayani Chato.
Home
HABARI
HABARI NA MATUKIO
KITAIFA
MAGUFULI
PICHA MBALIMBALI ZIKIONESHA RAIS MAGUFULI ALIPOWASILI CHATO MKOANI GEITA AKITOKEA DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: