Mkurugenzi Mendaji wa Tasisi ya SUKOS, Suleiman Kova (kulia) akipima kiwango cha joto katika jitihada za kukabiliana na kirusi cha Corona. naempima ni Mratibu wa Afya ya Jamii Mkoa wa Dar es Salaam, Agnes Mgaya katika semina elekezi dhidi ya mampambano ya ungonjwa corona madeleva wa pikipiki leo jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mendaji wa Tasisi ya SUKOS,Suleiman Kova (kulia) (Kamanda mstaafu wa Jeshi la Polisi) akizungumza na waaandi wa habari katika semina elekezi dhidi ya mampambano ya ungonjwa corona madeleva wa pikipiki leo jijini Dar es Salaam.

Mratibu wa Afya Kinywa na Meno,Dkt.Daisy Majamba akizungumza na madeleva wa pikipiki namna ya kijikinga na kirusi cha Corona leo katika semina elekezi dhidi ya mampambano ya ungonjwa corona. (Picha na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)

Katibu wa Afya mkoa wa Dar es Salaam, Sister Mathew akisistiza jambo namna ya kujikinga na kirusi cha Corona leo katika semina elekezi dhidi ya mampambano ya ungonjwa corona kwa kushirikiana na madeleva wa pikipiki.Madeleva wa pikipiki wakimsiliziza Mkurugenzi Mendaji wa Tasisi ya SUKOS,Suleiman Kova (kulia) (Kamanda mstaafu wa Jeshi la Polisi)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: