Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza masuala mbalimbali yanayohusu wakimbizi na Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, Antonio Canhandula (kulia), wakati mwakilishi huyo alivyofika ofisini kwa waziri, jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR)nchini, Antonio Canhandula akizungumza masuala mbalimbali yanayohusu wakimbizi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), wakati mwakilishi huyo alivyofika ofisini kwa waziri, jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akimsindikiza Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, Antonio Canhandula (kulia), baada ya kumaliza mazungumzo mbalimbali yaliyohusu wakimbizi wakati mwakilishi huyo alivyofika ofisini kwa waziri, jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: