Georgia Mutagaywa wa Mbezi Beach  anasikitika katangaza kifo cha kaka yake mpendwa - Gosbert Mutagaywa -  kilichotokea jijini Dar es Salaam. Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwa Baba wa Marehemu kijijini Muhutwe, Muleba Kaskazini. Habari ziwafikie ndugu na marafiki wote wa Marehemu Gosbert. BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

2 comments:

  1. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pemba peponi.tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi.Jina la bwana libarikiwe.R.I.P Mr.G

    ReplyDelete