RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumfariji Mjane wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Marehemu Seif Sharif Hamad, Mama Awena Seif na (kushoto kwake) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, alipofika nyumbani kwake Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumtembelea leo 26-2-2021.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumfariji Mjane wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Marehemu Seif Sharif Hamad, Mama Awena Seif,alipofika nyumbani kwake Mbweni Wilaya ya Magharibin “B” Unguja kumtembelea leo 26-2-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ya kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Marehemu Seif Sharif Hamad, alipofika nyumbani kwa marehemu Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumtembelea Mjane wa Marehemi Bi. Awena Seif, dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume.(Picha na Ikulu)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: