Baadhi ya washiriki wa mashindano ya riadha kwa wanawake yanayoitwa “Ladies First” wakipokea vifaa toka kwa waandaaji kwa ajili ya mashindano hayo yatakayofanyika kesho katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya washiriki wa mashindano ya riadha kwa wanawake yanayoitwa “Ladies First” wakisubiri utaratibu toka kwa waandaaji wa mashindano hayo.
 Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Alex Mkenyenge akifafanua jambo kwa washiriki wa mashindano ya riadha kwa wanawake yanayoitwa “Ladies First” wakati wa semina elekezi iliyofanyika mapema hii leo jijini Dar esa Salaam.
 Mtaalamu toka Japan, Dk. Okada akitoa mafunzo kwa washiriki wa mashindano ya riadha kwa wanawake yanayoitwa “Ladies First” wakati wa semina elekezi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mashindano ya riadha kwa wanawake yanayoitwa “Ladies First” wakimsikiliza Mtaalamu toka Japan Dk. Okada (hayupo pichani) wakati wa semina elekezi iliyofanyika mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Picha na WHUSM – Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: