Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe, leo, Februari 14, 2019 amezindua nembo maalumu ya Fainali za Afrika za Vijana chini ya miaka 17 yatakayofanyika mapema mwezi Aprili mwaka huu,ambapo Tanzania ndiyo mwenyeji wa mashindano hayo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: