Baada ya wachezaji watatu wa klabu ya Yanga Kelvin Yondani, Juma Abdul na Andrew Vicent Dante kugoma kujiunga na kambi ya klabu ya Yanga mkoani Morogoro Inaelezwa kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Mwinyi Zahera naye amegoma kuja kujiunga na kambi ya klabu ya Yanga akishinikiza kulipwa kwanza baadhi ya fedha zake ambazo alizitoa kuisaidia klabu msimu ulioisha kulipa posho wachezaji, Kusafirisha timu na gharama zingine.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: