Jumla ya wanafunzi 567,567 wamefaulu mitihani ya kumaliza elimu ya msingi mwaka 2011na watafanyiwa mtihani wa majaribio kabla ya kuanza masomo yao rasmi katika shule walizochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza.
Akitangaza matokeo hayo (leo), jijini Dar es Salaam mbele ya waandishi wa habari, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Philipo Mulugo (Mb.) amesema, utaratibu huo wa kufanyiwa majaribio utaanza mwakani 2012, ambapo wanafunzi waliofaulu watafanyiwa majaribio ya kupima stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu.
Wakati huo huo, Baraza la Mtihani la Taifa limefuta matokeo yote ya watahiniwa 9,736 sawa na asilimia 1.0 waliobainika kufanya udanganyifu wakati wa mtihani huo.
“Mwanafunzi atakayebainika kuwa kajiunga na kidato cha kwanza bila kumudu stadi hizo, Mwalimu Mkuu wa shule alikotokea mwanafunzi huyo na Msimamizi wa Mtihani wakumaliza elimu ya msingi watachukuliwa hatua za kinidhamu,” amesema Waziri Mulugo.
Akizungumzia kuhusu kiwango cha ufaulu alisema kimeongezeka hadi kufikia asilimia 58.28 ukilinganisha na cha mwaka jana ambacho kilikuwa asimilia 53.52.
Aliongeza kuwa kiwango cha ufaulu wa masomo ya Kiingereza, Sayansi na Hesabu kimepanda . Somo la Kiingereza kutoka asilimia 36.47 mwaka jana hadi asilimia 46.70 kwa mwaka huu , wakati somo la Sayansi ni asilimia 61.33 mwaka huu toka asilimia 56.05mwaka jana na Hesabu asilimia 39.36 mwaka huu toka asilimia 24.70mwaka jana.
Jumla ya wanafunzi 983, 545 walifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwezi wa Septemba 2011 na kuonesha kuwa, kiwango cha ufaulu kimeongezeka kutoka asilimia 53.52 mwaka jana hadi 58.28. Jumla ya wasichana waliofaulu ni 27,377 na wavulana ni 289,190.
Wakati huo huo, Serikali imesema, kazi ya kuhakiki madai ya walimu imekamilika tangu Desemba 2, mwaka huu na kwamba madai hayo ni kiasi cha sh. bilioni 52.
Akijibu swali lililoulizwa na waandishi kuhusu madai ya walimu, Naibu Katibu Mkuu Bw. Selestine Gesimba amesema, kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 30 ni za mishahara na bilioni 22 ni za madai mengineyo.
Bw. Gesimba ameongeza kuwa, madai ya malipo mengine yataanza kulipwa mwezi huu (Desemba) na madai ya malipo ya mishahara yatalipwa ifikapo Januari 2012.
Hata hivyo alisema tayari Hazina wameshalipa bilioni 28 za madai ya mishahara kuanzia Julai mwaka jana hadi Novemba mwaka huu.
Na Gradys Sigera & Magreth Kinabo – MAELEZO


TUNASHUKURU KWA TAARIFA ZENU ZIMEKAA VZR NINAOMBA KUTUMIWA MATOKEO YA S/M KASIGA YA KOROGWE TANGA YA 2011 TAFADHARI
ReplyDeleteNinaomba kutumiwa matokeo ya s/m kaswa ya Tabora ya 2011 tafadhari
DeleteNinaomba kutumiwa matokeo ya s/m kaswa ya Tabora ya 2011 tafadhari
DeleteNaaomba kutumiwa matokeo yw shule yamsingi buhare
DeleteNaomba matokeo ya 2011 shule yA gidbasso
DeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la Saba mwaka 2011 shule ya msingi madege wilaya ya kilolo mkoa wa iringa
ReplyDeleteGud
ReplyDeleteNaomba matokeo ya kondoa shule keikei
ReplyDeleteNaomb mnitumie matokeo ya la saba 2011
ReplyDeleteMateso ndahani
DeleteNaomba mnitumie matokeo ya darasa la saba mwaka 2011 kwa sms shule ya msingi Muzye wilaya ya kasulu mkoa wa Kigoma
DeleteMsebei primary
DeleteNaomba unitumie matokeo ya darasa la saba 2011
DeleteNaomba nitumie matokeo ya darasa la saba 2010 shule ya msingi mvumi wilaya ya kilosa mkoa wa morogoro
ReplyDeleteShule ya msingi mkondoa ya morogoro
DeleteMatokeo ya darasa la saba shule ya mkondoa
DeleteNaomba kutumiwa matokeo ya s/m bulumbela2011
ReplyDeleteNashukuru kwa kazi yenu nzur, nahitaji matokeo ya darasa la Saba shule ya msingi ipoma mkoan mbeya-busokelo ya mwaka 2011, tafadhari
ReplyDeleteNaomba matokeo ya darasa la saba 2011 manyara
DeleteNinaomba matokeo ya S/M Rocken hill ya mwaka 2011.
ReplyDeleteNaombeni matokeo s/m matale wilaya meatu mkoan simiyu
ReplyDeleteNaomba matokeo ya darasa la saba s/m Isenga A ya Mwanza 2011
ReplyDeleteKongwa
DeleteSalaam, naomba matokeo ya darasa la saba 2011 S/m Isenga A (Mwanza)
ReplyDeleteNinaomba kutumiwa matokeo ya s/m zahanati yarugusu geita
ReplyDeleteMgeta mwarazi
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo yangu ya darasa LA saba
ReplyDeleteYoabu meshack
DeleteNaomba kutumiwa matokeo yangu
ReplyDeleteAntony salivyusi haule
DeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2011 shule ya msingi nyakanazi, mkoa wa kagera
ReplyDeleteMatokeo kigembe primary school naomba
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo darasa la saba 2011 s/m Ruruma mkoa singida wilaya iramba
ReplyDeleteSorry naomba kutumiwa matokeo darasa LA saba 2011 kahama shule ya msingi bukooba
ReplyDeleteFelix paschal
DeleteNaomba matokeo ya s/m bukooba kahama 2011
ReplyDeleteNaomb matokeo y darasa la saba 2011 s/m mafere (muheza)
ReplyDeleteNaomba kutumia matokeo ya s/m kongowe ya kibaha pwani 2011
ReplyDeletenaomba mnitumie matokeo yang ya darasa la Saba 2011 smile ya block farm iliopo tabora now
DeleteMatokeo darasa la saba2011s/m/titiwi
DeleteNinomba kutumiwa matokeo ya darasa la Saba 2011 s/m dissa kondoa
ReplyDeleteMbeya
DeleteNitumie matokeo s/m kiombon
DeleteMnamuomba nani sasa nielewesheni na Mimi na uliya
DeleteAsante kwa kazi naomba kutumiwa matokeo ya s/m kati iliyopo Mkoani Mbeya wilaya ya kyela
ReplyDeleteKwa email nikokajange22@gmail.com or Whatsapp namba 0628904230
ReplyDeleteMikao
ReplyDeleteMikao
ReplyDeleteNaomba matokeo ya darasa la Saba 2011 ya mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo shule ya msingi Imalamakoye
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matoke Juliana Michael mushi darasa la saba Mlali b kongwa
ReplyDeleteNaomba nitumiwe matokeo ya darasa la saba 2011 wilaya ya Rorya
ReplyDeleteNitumie matokeo ya dalasa la saba 2011
ReplyDeleteNaomba matokeo ya mtihani lasaba 2011
ReplyDeleteNaomba nitumiwe matokeo ya darasa la saba 2011 s/m chikukwe wilaya ya masasi mkoa wa mtwara
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo darasa la saba ya mwaka 2011 ya s/m chibumagwa wilaya ya manyoni mkoa wa singida
ReplyDeleteNaomba matokeo ya darasa la saba 2011_shule maendeleo pl school-mbagala
ReplyDeletematondo richard
ReplyDeleteHabarii samahan naomba kuona matokeo ya darasa la saba 2011 shule ya msingi mdawi
ReplyDeleteHello.! Ninaomba kutumiwa matokeo ya s/m Mbuga ulanga/mahenge mwaka 2011.
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba mwaka 2011 s/m kaigara mkoa wa kagera
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba mwaka 2011
ReplyDeleteNaomba matokeo darasalasaba 2011wilaya ya mbeya ( v)
ReplyDeleteNaomba matokeo ya darasa la saba 2010-2011
ReplyDeleteNaomba matokeo kisarewe pwani 2011
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya shule ya msingi ufuko 2011
ReplyDeleteNinaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba mwaka 2003 shule ya msingi misasa
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2011
ReplyDeleteKatanda
ReplyDeleteNaomba omba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2012
ReplyDeleteNamba kutumiwa matokeo ya darasa la saba katanda 2011
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba s/m nyameni
ReplyDeleteNaomba matokeo ya darasa la saba mwaka 2011 shule ya msingi boda primary wilaya ya same
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa 7 2011 shule ya msingi ring'wani serengeti
ReplyDeleteNaomba kutumia matokea la darasa la Saba 2011 shule ya msingi mbuyuni
ReplyDeleteMatokeo ya darasa la Saba taboraa uyui
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2011 shule ya msingi kitema
ReplyDeleteLushot
ReplyDeleteNinaomba kutumiwa matokeo ya dalasa la saba 2011 s/m nyamikoma
ReplyDeleteShule ya msingi tamau
ReplyDeleteChanges masalu
ReplyDeleteChangwe masalu mwita
ReplyDeleteNaomba kutumiwa mtokeo ya darasa lasaba 2011 s/m matandalani
ReplyDeleteNaomba matokeo 2011tanga lushoto nkelei
ReplyDeleteNinaomba kutumia matokeo ya darasa la saba 2011 kigoma
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo s/m sabasaba mkoa wa morogoro 2011
ReplyDeleteNaomba matokeo ya darasa la saba 2011 mkoa Lindi wilaya ruangwa shule likangara
ReplyDeleteNinaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2011 s/m kampera
ReplyDeleteNaomba matokeo ya dalasa la saba2011 ruvuma songea
ReplyDeleteNinaomba kupata matokeo endanoga primary school 2011
ReplyDeleteNinaomba kutumiwa matokeo ya darasa la Saba 2011 endanoga primary school mkoa wa manyara
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba2011buhangaza ps
ReplyDeletenaomba kutumiwa matokeo darasa la saba 2011 s/m ntarasha wilaya ya uyui mkoa TABORA
ReplyDeleteNaoma kutumia matokeo ya darasa LA 7 2011 dodoma
ReplyDeleteNinaomba matokeo darasa la Saba s/msingi kigilagila 2011
ReplyDeletenaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba s/m karema
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la Saba mkoa wa kigoma
ReplyDeleteShule ya m/s ngembambili
ReplyDeleteNaomba kuitumia matokeo ya shule ya msingi nyasubi
ReplyDeleteMsaada wa matokeo ya darasa la saba 2011 jangwani primary school mkoa wa rukwa
ReplyDeleteMatokeo ya darasa la saba inyala primary school 2011
ReplyDeleteSamahan naomba kuyaona matokeo ya shule ya msingi kitete wilaya ya SUMBAWANGA -RUKWA
ReplyDeleteNinaomba kutumiwa matokeo ya a s/m kitete wilaya ya SUMBAWANGA -RUKWA ya mwaka 2011
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2012 s/m korogwe kahama
ReplyDeleteJafari Stephen lebejo
ReplyDeleteFibeti shida
ReplyDeleteMtii
ReplyDeleteNikaomba kutumiwa matokeo ya s/m ugalla mkoa wa katavi wilaya ya nsimbo
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2011 s/m stephano zabron Yona
ReplyDeleteNaombakutumiwa matokeoyangu ya dalasa la saba 2011 shuleya musngi king'ombe wilaya ya nkasi
ReplyDeleteS/m malangale
ReplyDeletematokeo darasa la saba mwenge mshindo mkoa ruvuma wilaya ya songea
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya dalasa la Saba 2011 mapinduzi primary school kilombero
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2011 mkoa wa mwanza wilaya ya magu s/m kabita
ReplyDeleteNamba matokeo ya rutabo A ya darasa la Saba 2011
ReplyDeleteChristina Kenneth muhando
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba shule ya msingi maweni 2011 mkoa Kilimanjaro wilaya moshi
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2011 shule ya misingi kibanda mkoa Tanga
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2011 MAJENGO korogwe vijijini
ReplyDeleteIpalamasa
ReplyDeleteNaomba matokeo ya darasa la 7,,,,,,,
ReplyDelete2011
Naomba kutumiwa matokea ta 2011 zuzu primary
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba mwaka 2011 mlongia kondoa
ReplyDeletenaomba kutumiwa matokeo ya darasa la Saba shule Kabezi wilaya karagwe mkoa kagera
ReplyDeleteMatokeo ya mtihan darasa la saba 2011
ReplyDeleteNaomba nitumie matokeo ya darasa la saba 2011
ReplyDeleteNaomba nitumie matokeo ya darasa la saba 2011 mkoa wa mbeya
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya shule ya msingi Nahalyongo mkoa wa mbeya wilaya ya chunya 2011
ReplyDeleteNaomba mtokeo ya darasa la Saba shule ya msingi mwaliga mkoani simiyu 2011
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya darasa la Saba shule ya msingi kilambo 2011
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya shule msing dalasa la7 2011 mwanza geta
ReplyDeleteNinaomba kutumiwa matokeo ya Darasa la Saba ya mwaka 2011 shule ya Msingi Uwata
ReplyDeleteNaomba kutumiwa matokeo ya s/m korotambe wilaya ya tarime
ReplyDeleteNaomba matokeo ya s/m korotambe 2011 wilaya ya tarime
ReplyDeletenaombeni munitumie matoke 0786555799
ReplyDeleteNaomba unitumie matokeo ya darasa la saba 2011 shule mbande
ReplyDeletenaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba Nkoma A shule ya msingi mwaka 2011
ReplyDeleteSalaam naombeni matokeo ya darasa la saba 2011 ngululwale busokelo kwasasa apo zamani rungwe
ReplyDeleteMatokeo ya darasa la saba 2011 shule ya msingi kiyange
ReplyDeletenamba matokeo yang masasi
ReplyDeleteNahitaji matokeo ya darasa la saba s/m katongoro
ReplyDeleteNaomba nitumie matokeo yangu ya s/m 2011
ReplyDelete