Jumla ya wanafunzi 567,567 wamefaulu mitihani ya kumaliza elimu ya msingi mwaka 2011na watafanyiwa mtihani wa majaribio kabla ya kuanza masomo yao rasmi katika shule walizochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza.

Akitangaza matokeo hayo (leo), jijini Dar es Salaam mbele ya waandishi wa habari, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Philipo Mulugo (Mb.) amesema, utaratibu huo wa kufanyiwa majaribio utaanza mwakani 2012, ambapo wanafunzi waliofaulu watafanyiwa majaribio ya kupima stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu.

Wakati huo huo, Baraza la Mtihani la Taifa limefuta matokeo yote ya watahiniwa 9,736 sawa na asilimia 1.0 waliobainika kufanya udanganyifu wakati wa mtihani huo.

“Mwanafunzi atakayebainika kuwa kajiunga na kidato cha kwanza bila kumudu stadi hizo, Mwalimu Mkuu wa shule alikotokea mwanafunzi huyo na Msimamizi wa Mtihani wakumaliza elimu ya msingi watachukuliwa hatua za kinidhamu,” amesema Waziri Mulugo.

Akizungumzia kuhusu kiwango cha ufaulu alisema kimeongezeka hadi kufikia asilimia 58.28 ukilinganisha na cha mwaka jana ambacho kilikuwa asimilia 53.52.

Aliongeza kuwa kiwango cha ufaulu wa masomo ya Kiingereza, Sayansi na Hesabu kimepanda . Somo la Kiingereza kutoka asilimia 36.47 mwaka jana hadi asilimia 46.70 kwa mwaka huu , wakati somo la Sayansi ni asilimia 61.33 mwaka huu toka asilimia 56.05mwaka jana na Hesabu asilimia 39.36 mwaka huu toka asilimia 24.70mwaka jana.

Jumla ya wanafunzi 983, 545 walifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwezi wa Septemba 2011 na kuonesha kuwa, kiwango cha ufaulu kimeongezeka kutoka asilimia 53.52 mwaka jana hadi 58.28. Jumla ya wasichana waliofaulu ni 27,377 na wavulana ni 289,190.

Wakati huo huo, Serikali imesema, kazi ya kuhakiki madai ya walimu imekamilika tangu Desemba 2, mwaka huu na kwamba madai hayo ni kiasi cha sh. bilioni 52.

Akijibu swali lililoulizwa na waandishi kuhusu madai ya walimu, Naibu Katibu Mkuu Bw. Selestine Gesimba amesema, kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 30 ni za mishahara na bilioni 22 ni za madai mengineyo.

Bw. Gesimba ameongeza kuwa, madai ya malipo mengine yataanza kulipwa mwezi huu (Desemba) na madai ya malipo ya mishahara yatalipwa ifikapo Januari 2012.

Hata hivyo alisema tayari Hazina wameshalipa bilioni 28 za madai ya mishahara kuanzia Julai mwaka jana hadi Novemba mwaka huu.

Na Gradys Sigera & Magreth Kinabo – MAELEZO
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

141 comments:

  1. TUNASHUKURU KWA TAARIFA ZENU ZIMEKAA VZR NINAOMBA KUTUMIWA MATOKEO YA S/M KASIGA YA KOROGWE TANGA YA 2011 TAFADHARI

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ninaomba kutumiwa matokeo ya s/m kaswa ya Tabora ya 2011 tafadhari

      Delete
    2. Ninaomba kutumiwa matokeo ya s/m kaswa ya Tabora ya 2011 tafadhari

      Delete
    3. Naaomba kutumiwa matokeo yw shule yamsingi buhare

      Delete
    4. Naomba matokeo ya 2011 shule yA gidbasso

      Delete
  2. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la Saba mwaka 2011 shule ya msingi madege wilaya ya kilolo mkoa wa iringa

    ReplyDelete
  3. Naomba matokeo ya kondoa shule keikei


    ReplyDelete
  4. Naomb mnitumie matokeo ya la saba 2011

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mateso ndahani

      Delete
    2. Naomba mnitumie matokeo ya darasa la saba mwaka 2011 kwa sms shule ya msingi Muzye wilaya ya kasulu mkoa wa Kigoma

      Delete
    3. Msebei primary

      Delete
    4. Naomba unitumie matokeo ya darasa la saba 2011

      Delete
  5. Naomba nitumie matokeo ya darasa la saba 2010 shule ya msingi mvumi wilaya ya kilosa mkoa wa morogoro

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shule ya msingi mkondoa ya morogoro

      Delete
    2. Matokeo ya darasa la saba shule ya mkondoa

      Delete
  6. Naomba kutumiwa matokeo ya s/m bulumbela2011

    ReplyDelete
  7. Nashukuru kwa kazi yenu nzur, nahitaji matokeo ya darasa la Saba shule ya msingi ipoma mkoan mbeya-busokelo ya mwaka 2011, tafadhari

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naomba matokeo ya darasa la saba 2011 manyara

      Delete
  8. Ninaomba matokeo ya S/M Rocken hill ya mwaka 2011.

    ReplyDelete
  9. Naombeni matokeo s/m matale wilaya meatu mkoan simiyu

    ReplyDelete
  10. Naomba matokeo ya darasa la saba s/m Isenga A ya Mwanza 2011

    ReplyDelete
  11. Salaam, naomba matokeo ya darasa la saba 2011 S/m Isenga A (Mwanza)

    ReplyDelete
  12. Ninaomba kutumiwa matokeo ya s/m zahanati yarugusu geita

    ReplyDelete
  13. Naomba kutumiwa matokeo yangu ya darasa LA saba

    ReplyDelete
  14. Naomba kutumiwa matokeo yangu

    ReplyDelete
  15. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2011 shule ya msingi nyakanazi, mkoa wa kagera

    ReplyDelete
  16. Matokeo kigembe primary school naomba

    ReplyDelete
  17. Naomba kutumiwa matokeo darasa la saba 2011 s/m Ruruma mkoa singida wilaya iramba

    ReplyDelete
  18. Sorry naomba kutumiwa matokeo darasa LA saba 2011 kahama shule ya msingi bukooba

    ReplyDelete
  19. Naomba matokeo ya s/m bukooba kahama 2011

    ReplyDelete
  20. Naomb matokeo y darasa la saba 2011 s/m mafere (muheza)

    ReplyDelete
  21. Naomba kutumia matokeo ya s/m kongowe ya kibaha pwani 2011

    ReplyDelete
    Replies
    1. naomba mnitumie matokeo yang ya darasa la Saba 2011 smile ya block farm iliopo tabora now

      Delete
    2. Matokeo darasa la saba2011s/m/titiwi

      Delete
  22. Ninomba kutumiwa matokeo ya darasa la Saba 2011 s/m dissa kondoa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nitumie matokeo s/m kiombon

      Delete
    2. Mnamuomba nani sasa nielewesheni na Mimi na uliya

      Delete
  23. Asante kwa kazi naomba kutumiwa matokeo ya s/m kati iliyopo Mkoani Mbeya wilaya ya kyela

    ReplyDelete
  24. Kwa email nikokajange22@gmail.com or Whatsapp namba 0628904230

    ReplyDelete
  25. Naomba matokeo ya darasa la Saba 2011 ya mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo shule ya msingi Imalamakoye

    ReplyDelete
  26. Naomba kutumiwa matoke Juliana Michael mushi darasa la saba Mlali b kongwa

    ReplyDelete
  27. Naomba nitumiwe matokeo ya darasa la saba 2011 wilaya ya Rorya

    ReplyDelete
  28. Nitumie matokeo ya dalasa la saba 2011

    ReplyDelete
  29. Naomba matokeo ya mtihani lasaba 2011

    ReplyDelete
  30. Naomba nitumiwe matokeo ya darasa la saba 2011 s/m chikukwe wilaya ya masasi mkoa wa mtwara

    ReplyDelete
  31. Naomba kutumiwa matokeo darasa la saba ya mwaka 2011 ya s/m chibumagwa wilaya ya manyoni mkoa wa singida

    ReplyDelete
  32. Naomba matokeo ya darasa la saba 2011_shule maendeleo pl school-mbagala

    ReplyDelete
  33. matondo richard

    ReplyDelete
  34. Habarii samahan naomba kuona matokeo ya darasa la saba 2011 shule ya msingi mdawi

    ReplyDelete
  35. Hello.! Ninaomba kutumiwa matokeo ya s/m Mbuga ulanga/mahenge mwaka 2011.

    ReplyDelete
  36. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba mwaka 2011 s/m kaigara mkoa wa kagera

    ReplyDelete
  37. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba mwaka 2011

    ReplyDelete
  38. Naomba matokeo darasalasaba 2011wilaya ya mbeya ( v)

    ReplyDelete
  39. Naomba matokeo ya darasa la saba 2010-2011

    ReplyDelete
  40. Naomba matokeo kisarewe pwani 2011

    ReplyDelete
  41. Naomba kutumiwa matokeo ya shule ya msingi ufuko 2011

    ReplyDelete
  42. Ninaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba mwaka 2003 shule ya msingi misasa

    ReplyDelete
  43. Naomba kutumiwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2011

    ReplyDelete
  44. Naomba omba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2012

    ReplyDelete
  45. Namba kutumiwa matokeo ya darasa la saba katanda 2011

    ReplyDelete
  46. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba s/m nyameni

    ReplyDelete
  47. Naomba matokeo ya darasa la saba mwaka 2011 shule ya msingi boda primary wilaya ya same

    ReplyDelete
  48. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa 7 2011 shule ya msingi ring'wani serengeti

    ReplyDelete
  49. Naomba kutumia matokea la darasa la Saba 2011 shule ya msingi mbuyuni

    ReplyDelete
  50. Matokeo ya darasa la Saba taboraa uyui

    ReplyDelete
  51. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2011 shule ya msingi kitema

    ReplyDelete
  52. Ninaomba kutumiwa matokeo ya dalasa la saba 2011 s/m nyamikoma

    ReplyDelete
  53. Shule ya msingi tamau

    ReplyDelete
  54. Changwe masalu mwita

    ReplyDelete
  55. Naomba kutumiwa mtokeo ya darasa lasaba 2011 s/m matandalani
















    ReplyDelete
  56. Naomba matokeo 2011tanga lushoto nkelei

    ReplyDelete
  57. Ninaomba kutumia matokeo ya darasa la saba 2011 kigoma

    ReplyDelete
  58. Naomba kutumiwa matokeo s/m sabasaba mkoa wa morogoro 2011

    ReplyDelete
  59. Naomba matokeo ya darasa la saba 2011 mkoa Lindi wilaya ruangwa shule likangara

    ReplyDelete
  60. Ninaomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2011 s/m kampera

    ReplyDelete
  61. Naomba matokeo ya dalasa la saba2011 ruvuma songea

    ReplyDelete
  62. Ninaomba kupata matokeo endanoga primary school 2011

    ReplyDelete
  63. Ninaomba kutumiwa matokeo ya darasa la Saba 2011 endanoga primary school mkoa wa manyara

    ReplyDelete
  64. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba2011buhangaza ps

    ReplyDelete
  65. naomba kutumiwa matokeo darasa la saba 2011 s/m ntarasha wilaya ya uyui mkoa TABORA

    ReplyDelete
  66. Naoma kutumia matokeo ya darasa LA 7 2011 dodoma

    ReplyDelete
  67. Ninaomba matokeo darasa la Saba s/msingi kigilagila 2011

    ReplyDelete
  68. naomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba s/m karema

    ReplyDelete
  69. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la Saba mkoa wa kigoma

    ReplyDelete
  70. Shule ya m/s ngembambili

    ReplyDelete
  71. Naomba kuitumia matokeo ya shule ya msingi nyasubi

    ReplyDelete
  72. Msaada wa matokeo ya darasa la saba 2011 jangwani primary school mkoa wa rukwa

    ReplyDelete
  73. Matokeo ya darasa la saba inyala primary school 2011

    ReplyDelete
  74. Samahan naomba kuyaona matokeo ya shule ya msingi kitete wilaya ya SUMBAWANGA -RUKWA

    ReplyDelete
  75. Ninaomba kutumiwa matokeo ya a s/m kitete wilaya ya SUMBAWANGA -RUKWA ya mwaka 2011

    ReplyDelete
  76. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2012 s/m korogwe kahama

    ReplyDelete
  77. Jafari Stephen lebejo

    ReplyDelete
  78. Nikaomba kutumiwa matokeo ya s/m ugalla mkoa wa katavi wilaya ya nsimbo

    ReplyDelete
  79. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2011 s/m stephano zabron Yona

    ReplyDelete
  80. Naombakutumiwa matokeoyangu ya dalasa la saba 2011 shuleya musngi king'ombe wilaya ya nkasi

    ReplyDelete
  81. S/m malangale

    ReplyDelete
  82. matokeo darasa la saba mwenge mshindo mkoa ruvuma wilaya ya songea

    ReplyDelete
  83. Naomba kutumiwa matokeo ya dalasa la Saba 2011 mapinduzi primary school kilombero

    ReplyDelete
  84. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2011 mkoa wa mwanza wilaya ya magu s/m kabita

    ReplyDelete
  85. Namba matokeo ya rutabo A ya darasa la Saba 2011

    ReplyDelete
  86. Christina Kenneth muhando

    ReplyDelete
  87. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba shule ya msingi maweni 2011 mkoa Kilimanjaro wilaya moshi

    ReplyDelete
  88. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2011 shule ya misingi kibanda mkoa Tanga

    ReplyDelete
  89. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba 2011 MAJENGO korogwe vijijini

    ReplyDelete
  90. Naomba matokeo ya darasa la 7,,,,,,,
    2011

    ReplyDelete
  91. Naomba kutumiwa matokea ta 2011 zuzu primary

    ReplyDelete
  92. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba mwaka 2011 mlongia kondoa

    ReplyDelete
  93. naomba kutumiwa matokeo ya darasa la Saba shule Kabezi wilaya karagwe mkoa kagera

    ReplyDelete
  94. Matokeo ya mtihan darasa la saba 2011


    ReplyDelete
  95. Naomba nitumie matokeo ya darasa la saba 2011

    ReplyDelete
  96. Naomba nitumie matokeo ya darasa la saba 2011 mkoa wa mbeya

    ReplyDelete
  97. Naomba kutumiwa matokeo ya shule ya msingi Nahalyongo mkoa wa mbeya wilaya ya chunya 2011

    ReplyDelete
  98. Naomba mtokeo ya darasa la Saba shule ya msingi mwaliga mkoani simiyu 2011

    ReplyDelete
  99. Naomba kutumiwa matokeo ya darasa la Saba shule ya msingi kilambo 2011

    ReplyDelete
  100. Naomba kutumiwa matokeo ya shule msing dalasa la7 2011 mwanza geta



    ReplyDelete
  101. Ninaomba kutumiwa matokeo ya Darasa la Saba ya mwaka 2011 shule ya Msingi Uwata

    ReplyDelete
  102. Naomba kutumiwa matokeo ya s/m korotambe wilaya ya tarime

    ReplyDelete
  103. Naomba matokeo ya s/m korotambe 2011 wilaya ya tarime

    ReplyDelete
  104. naombeni munitumie matoke 0786555799

    ReplyDelete
  105. Naomba unitumie matokeo ya darasa la saba 2011 shule mbande

    ReplyDelete
  106. naomba kutumiwa matokeo ya darasa la saba Nkoma A shule ya msingi mwaka 2011

    ReplyDelete
  107. Salaam naombeni matokeo ya darasa la saba 2011 ngululwale busokelo kwasasa apo zamani rungwe

    ReplyDelete
  108. Matokeo ya darasa la saba 2011 shule ya msingi kiyange

    ReplyDelete
  109. namba matokeo yang masasi

    ReplyDelete
  110. Nahitaji matokeo ya darasa la saba s/m katongoro

    ReplyDelete
  111. Naomba nitumie matokeo yangu ya s/m 2011

    ReplyDelete